MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ASHIRIKI MISA TAKATIFU KATIKA KANISA KUU KATOLIKI LA BIKIRA MARIA KATAVI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akishiriki ibada ya misa takatifu  katika Kanisa kuu katoliki la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili Jimbo la Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 24 Julai 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini